Wednesday, May 13, 2015

Masematiki

Japo we ni bingwa wa hesabu amini nakuhakikishia (1 mara 3) sio sawa na (3 mara 1). Kama huamini nenda hospitali  daktari akikuandikia (1mara3) wewe meza (3 mara1) uone kitacho kutokea.

No comments:

Post a Comment